Pakua sodoapp ujumuike na mashabiki wa kweli katika mijadala mbali mbali yenye kusisimua na kuburudisha!
Chati na marafiki na badilishana mawazo, furahia nakala tamu na zenye madini kupitia Sodo TV, na mengine mengi.
Shiriki katika mijadala ya kuvutia kuhusu mchezo wa mpira wa miguu ndani ya dakika 90. Jadili matukio ya sasa, timu zako unazozipenda, na washikaji wako.
Pata majukwaa maalum ya kujadili timu zako unazozipenda. Ungana na mashabiki wengine katika mazungumzo ya kina kuhusu mchezo.
Tazama video za kipekee, mahojiano ya wachezaji, na uchambuzi wa michezo na habari kupitia SodoTV.
Ingia katika changing room ya mashabiki, na upate kujadili, badlisha na mawazo na kufahamina na shabiki mwezako katika faragha.
Jaribu ujuzi wako wa mpira wa miguu, shindana na mashabiki wengine, na kuwa mshindi wa leo!
Jibu maswali matatu ya changamoto kwa kila kipindi cha mchezo.
Una sekunde 10 kujibu kila swali. Uharaka ni muhimu!
Pata pointi kwa kila jibu sahihi na bonus kwa majibu ya haraka.
Karibisha na changamsha marafiki zako kwenye mashindano ya Chemsha Bongo.